4 Mwenyezi-Mungu yumo katika hekalu lake takatifu;kiti cha enzi cha Mwenyezi-Mungu kiko mbinguni.Kwa macho yake huwachungulia wanadamu,na kujua kila kitu wanachofanya.
Kusoma sura kamili Zaburi 11
Mtazamo Zaburi 11:4 katika mazingira