Zaburi 12:6 BHN

6 Neno la Mwenyezi-Mungu ni safi,safi kama fedha iliyosafishwa katika tanuri,naam, kama fedha iliyosafishwa mara saba.

Kusoma sura kamili Zaburi 12

Mtazamo Zaburi 12:6 katika mazingira