Zaburi 17:1 BHN

1 Ee Mwenyezi-Mungu usikie kisa changu cha haki,usikilize kilio changu,uitegee sikio sala yangu isiyo na hila.

Kusoma sura kamili Zaburi 17

Mtazamo Zaburi 17:1 katika mazingira