Zaburi 17:14 BHN

14 Kwa mkono wako, ee Mwenyezi-Mungu,uniokoe mikononi mwa watu hao,watu ambao riziki yao ni dunia hii tu. Uwajaze adhabu uliyowawekea,wapate ya kuwatosha na watoto wao,wawaachie hata na wajukuu zao.

Kusoma sura kamili Zaburi 17

Mtazamo Zaburi 17:14 katika mazingira