Zaburi 17:3 BHN

3 Wewe wajua kabisa moyo wangu;umenijia usiku, kunichunguza,umenitia katika jaribio;hukuona uovu ndani yangu,sikutamka kitu kisichofaa.

Kusoma sura kamili Zaburi 17

Mtazamo Zaburi 17:3 katika mazingira