Zaburi 18:15 BHN

15 Ulipowakemea maadui zako ee Mwenyezi-Mungu,ulipowatisha kwa ghadhabu yako,vilindi vya bahari vilifunuliwa,misingi ya dunia ikaonekana.

Kusoma sura kamili Zaburi 18

Mtazamo Zaburi 18:15 katika mazingira