6 Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu,nilimlilia Mungu wangu anisaidie.Aliisikia sauti yangu hekaluni mwake;kilio changu kilimfikia masikioni mwake.
Kusoma sura kamili Zaburi 18
Mtazamo Zaburi 18:6 katika mazingira