Zaburi 19:8 BHN

8 Kanuni za Mwenyezi-Mungu ni sawa,huufurahisha moyo;amri ya Mwenyezi-Mungu ni safi,humwelimisha mtu.

Kusoma sura kamili Zaburi 19

Mtazamo Zaburi 19:8 katika mazingira