Zaburi 2:12 BHN

12 msujudieni na kutetemeka;asije akakasirika, mkaangamia ghafla;kwani hasira yake huwaka haraka.Heri yao wote wanaokimbilia usalama kwake!

Kusoma sura kamili Zaburi 2

Mtazamo Zaburi 2:12 katika mazingira