Zaburi 21:9 BHN

9 Utakapotokea utawaangamiza kama kwa tanuri ya moto.Mwenyezi-Mungu atawamaliza kwa hasira yake,moto utawateketeza kabisa.

Kusoma sura kamili Zaburi 21

Mtazamo Zaburi 21:9 katika mazingira