Zaburi 22:23 BHN

23 Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, msifuni!Mtukuzeni enyi wazawa wote wa Yakobo!Mcheni Mungu enyi wazawa wote wa Israeli!

Kusoma sura kamili Zaburi 22

Mtazamo Zaburi 22:23 katika mazingira