Zaburi 23:4 BHN

4 Nijapopita katika bonde la giza kuu la kifo,sitaogopa hatari yoyote,maana wewe ee Mwenyezi-Mungu u pamoja nami;gongo lako na fimbo yako vyanilinda.

Kusoma sura kamili Zaburi 23

Mtazamo Zaburi 23:4 katika mazingira