Zaburi 27:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu,ni nani nitakayemwogopa?Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu,sitamwogopa mtu yeyote.

Kusoma sura kamili Zaburi 27

Mtazamo Zaburi 27:1 katika mazingira