Zaburi 27:6 BHN

6 Nami kwa fahari nitaangalia juuya maadui zangu wanaonizunguka.Nitamtolea tambiko kwa shangwe hekaluni mwake,nitaimba na kumshangilia Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Zaburi 27

Mtazamo Zaburi 27:6 katika mazingira