Zaburi 27:9 BHN

9 Usiache kuniangalia kwa wema.Usinikatae kwa hasira mimi mtumishi wako;wewe umekuwa daima msaada wangu.Usinitupe wala usiniache, ee Mungu Mwokozi wangu.

Kusoma sura kamili Zaburi 27

Mtazamo Zaburi 27:9 katika mazingira