Zaburi 28:1 BHN

1 Nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu!Ewe mwamba wa usalama wangu usiniwie kama kiziwi,la sivyo kama usiponisikiliza,nitakuwa kama wale washukao shimoni kwa wafu.

Kusoma sura kamili Zaburi 28

Mtazamo Zaburi 28:1 katika mazingira