Zaburi 28:4 BHN

4 Uwaadhibu kadiri ya matendo yao,kufuatana na maovu waliyotenda.Waadhibu kadiri ya matendo yao wenyewe;uwatendee yale wanayostahili.

Kusoma sura kamili Zaburi 28

Mtazamo Zaburi 28:4 katika mazingira