Zaburi 31:21 BHN

21 Asifiwe Mwenyezi-Mungu,maana amenionesha fadhili zake kwa namna ya ajabu,nilipozingirwa kama mji unaoshambuliwa.

Kusoma sura kamili Zaburi 31

Mtazamo Zaburi 31:21 katika mazingira