Zaburi 31:9 BHN

9 Unionee huruma, ee Mwenyezi-Mungu, niko taabuni;macho yangu yamechoka kwa huzuni,nimeishiwa nguvu mwilini na rohoni.

Kusoma sura kamili Zaburi 31

Mtazamo Zaburi 31:9 katika mazingira