Zaburi 35:15 BHN

15 Lakini mimi nilipoanguka walikusanyika kunisimanga.Walikusanyika pamoja dhidi yangu.Watu nisiowajua walinirarua bila kukoma,wala hakuna aliyewazuia.

Kusoma sura kamili Zaburi 35

Mtazamo Zaburi 35:15 katika mazingira