Zaburi 35:17 BHN

17 Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini?Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao;uyaokoe maisha yangu na simba hao.

Kusoma sura kamili Zaburi 35

Mtazamo Zaburi 35:17 katika mazingira