Zaburi 37:20 BHN

20 Lakini waovu wataangamia,maadui za Mwenyezi-Mungu watanyauka kama maua nyikani;naam, watatoweka kama moshi.

Kusoma sura kamili Zaburi 37

Mtazamo Zaburi 37:20 katika mazingira