12 Usikie sala yangu, ee Mwenyezi-Mungu;usikilize kilio changu,usikae kimya ninapolia.Maana, mimi ni kama mgeni tu apitaye,ni msafiri kama walivyokuwa wazee wangu wote.
Kusoma sura kamili Zaburi 39
Mtazamo Zaburi 39:12 katika mazingira