Zaburi 39:5 BHN

5 Kumbe umenipimia maisha mafupi sana!Maisha yangu si kitu mbele yako.Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu!

Kusoma sura kamili Zaburi 39

Mtazamo Zaburi 39:5 katika mazingira