Zaburi 40:10 BHN

10 Sikuuficha moyoni mwangu ukombozi ulionijalia,nimetangaza daima kuwa wewe ni mwokozi mwaminifu;sikulificha kusanyiko kubwa la watufadhili zako na uaminifu wako.

Kusoma sura kamili Zaburi 40

Mtazamo Zaburi 40:10 katika mazingira