12 Maafa yasiyohesabika yanizunguka,maovu yangu yanikaba hata siwezi kuona;ni mengi kuliko nywele kichwani mwangu,nami nimevunjika moyo.
Kusoma sura kamili Zaburi 40
Mtazamo Zaburi 40:12 katika mazingira