16 Lakini wote wale wanaokutafutawafurahi na kushangilia kwa sababu yako.Wapendao wokovu wako,waseme daima: “Mwenyezi-Mungu ni Mkuu!”
Kusoma sura kamili Zaburi 40
Mtazamo Zaburi 40:16 katika mazingira