5 Mbona nasononeka hivyo moyoni?Kwa nini nahangaika hivyo ndani mwangu?Nitamtumainia Mungu,maana nitamsifu tenayeye aliye msaada wangu na Mungu wangu.
Kusoma sura kamili Zaburi 42
Mtazamo Zaburi 42:5 katika mazingira