9 Namwambia Mungu, mwamba wangu:“Kwa nini umenisahau?Yanini niende huko na huko nikiombolezakwa kudhulumiwa na adui yangu?”
Kusoma sura kamili Zaburi 42
Mtazamo Zaburi 42:9 katika mazingira