Zaburi 7:6 BHN

6 Inuka ee Mwenyezi-Mungu, kwa hasira yako,uikabili ghadhabu ya maadui zangu.Inuka, ee Mungu wangu,wewe umeamuru haki ifanyike.

Kusoma sura kamili Zaburi 7

Mtazamo Zaburi 7:6 katika mazingira