8 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wayahukumu mataifa;unihukumu kadiri ya uadilifu wangu,kulingana na huo unyofu wangu.
Kusoma sura kamili Zaburi 7
Mtazamo Zaburi 7:8 katika mazingira