Zaburi 35:26 BHN

26 Waache hao wanaofurahia maafa yangu,washindwe wote na kufedheheka.Hao wote wanaojiona wema kuliko mimi,waone haya na kuaibika.

Kusoma sura kamili Zaburi 35

Mtazamo Zaburi 35:26 katika mazingira