Zaburi 35:27 BHN

27 Lakini wanaotaka kuona kuwa sina hatia,wapaaze sauti kwa furaha waseme daima:“Mwenyezi-Mungu ni mkuu mno!Hupendezwa na fanaka ya mtumishi wake.”

Kusoma sura kamili Zaburi 35

Mtazamo Zaburi 35:27 katika mazingira