Zaburi 40:4 BHN

4 Heri mtu anayemtumainia Mwenyezi-Mungu;mtu asiyejiunga na watu wenye majivuno,watu waliopotoka kwa kuabudu miungu ya uongo.

Kusoma sura kamili Zaburi 40

Mtazamo Zaburi 40:4 katika mazingira