Zaburi 8:1 BHN

1 Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu,kweli jina lako latukuka duniani kote!Utukufu wako waenea mpaka juu ya mbingu!

Kusoma sura kamili Zaburi 8

Mtazamo Zaburi 8:1 katika mazingira