Zab. 10:14 SUV

14 Umeona, maana unaangalia madhara na jeuri,Uyatwae mkononi mwako.Mtu duni hukuachia nafsi yake,Maana umekuwa msaidizi wa yatima.

Kusoma sura kamili Zab. 10

Mtazamo Zab. 10:14 katika mazingira