1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza,Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
2 Ni kama mafuta mazuri kichwani,Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni,Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.