1 Tazama, enyi watumishi wa BWANA,Mhimidini BWANA, nyote pia.Ninyi mnaosimama usikuKatika nyumba ya BWANA.
2 Painulieni patakatifu mikono yenu,Na kumhimidi BWANA.