Zab. 134:1 SUV

1 Tazama, enyi watumishi wa BWANA,Mhimidini BWANA, nyote pia.Ninyi mnaosimama usikuKatika nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili Zab. 134

Mtazamo Zab. 134:1 katika mazingira