1 Katika shida yangu nalimlilia BWANANaye akaniitikia.
2 Ee BWANA, uiponye nafsi yanguNa midomo ya uongo na ulimi wa hila.
3 Akupe nini, akuzidishie nini,Ewe ulimi wenye hila?
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka,Pamoja na makaa ya mretemu.
5 Ole wangu mimi!Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki;Na kufanya maskani yanguKatikati ya hema za Kedari.
6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi,Pamoja naye aichukiaye amani.