Zab. 102:26 SUV

26 Hizi zitaharibika, bali Wewe utadumuNaam, hizi zitachakaa kama nguo;Na kama mavazi utazibadilisha,Nazo zitabadilika.

Kusoma sura kamili Zab. 102

Mtazamo Zab. 102:26 katika mazingira