Zab. 104:1 SUV

1 Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.Wewe, BWANA, Mungu wangu,Umejifanya mkuu sana;Umejivika heshima na adhama.

Kusoma sura kamili Zab. 104

Mtazamo Zab. 104:1 katika mazingira