Zab. 110:3 SUV

3 Watu wako wanajitoa kwa hiari,Siku ya uwezo wako;Kwa uzuri wa utakatifu,Tokea tumbo la asubuhi,Unao umande wa ujana wako.

Kusoma sura kamili Zab. 110

Mtazamo Zab. 110:3 katika mazingira