1 Haleluya.Israeli alipotoka Misri,Na Yakobo katika watu wa lugha ya kigeni.
2 Yuda ilikuwa patakatifu pake,Israeli milki yake.
3 Bahari iliona ikakimbia,Yordani ilirudishwa nyuma.
4 Milima iliruka kama kondoo waume,Vilima kama wana-kondoo.