15 Ina thamani machoni pa BWANAMauti ya wacha Mungu wake.
16 Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako,Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako,Umevifungua vifungo vyangu.
17 Nitakutolea dhabihu ya kushukuru;Na kulitangaza jina la BWANA;
18 Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA,Naam, mbele ya watu wake wote.