5 Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge,Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji,Sasa nitasimama, asema BWANA,Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.
Kusoma sura kamili Zab. 12
Mtazamo Zab. 12:5 katika mazingira