Zab. 125:2 SUV

2 Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu,Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake,Tangu sasa na hata milele.

Kusoma sura kamili Zab. 125

Mtazamo Zab. 125:2 katika mazingira