Zab. 127:2 SUV

2 Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema,Na kukawia kwenda kulala,Na kula chakula cha taabu;Yeye humpa mpenzi wake usingizi.

Kusoma sura kamili Zab. 127

Mtazamo Zab. 127:2 katika mazingira