Zab. 137:6 SUV

6 Ulimi wangu na ugandamaneNa kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.Nisipoikuza YerusalemuZaidi ya furaha yangu iliyo kuu.

Kusoma sura kamili Zab. 137

Mtazamo Zab. 137:6 katika mazingira