1 Haleluya.Msifuni BWANA kutoka mbinguni;Msifuni katika mahali palipo juu.
2 Msifuni, enyi malaika wake wote;Msifuni, majeshi yake yote.
3 Msifuni, jua na mwezi;Msifuni, nyota zote zenye mwanga.
4 Msifuni, enyi mbingu za mbingu,Nanyi maji mlioko juu ya mbingu.
5 Na vilisifu jina la BWANA,Kwa maana aliamuru, vikaumbwa.